Skip to main content
DUCE HEET Project shows remarkable progress, reaches 75% completion

The National HEET Project Coordinator, Dr. Kennedy Hosea, visited DUCE on 10th February 2026. The site visit aimed to review the construction progress of the two buildings designated for Postgraduate Studies and the Faculty of Humanities and Social Sciences.

WAHITIMU WA SHULE YA MSINGI YA MAZOEZI CHANG’OMBE WAREJEA SHULENI KUTOA SHUKRANI

WAHITIMU WA SHULE YA MSINGI YA MAZOEZI CHANG’OMBE WAREJEA SHULENI KUTOA SHUKRANI

Wanafunzi wa zamani waliohitimu katika Shule ya Msingi ya Mazoezi Chang’ombe kuanzia mwaka 2000, wametembelea shule hiyo tarehe 7 Agosti 2026 kwa lengo la kutoa shukrani kwa walimu wao pamoja na kuwatia moyo na hamasa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo kwa sasa.

VIWANGO VIPYA VYA TOZO NA FEDHA ZINAZOLIPWA MOJA KWA MOJA NA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027

Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) unapenda kuwataarifu wanafunzi wote kuwa, kuanzia mwaka wa masomo 2026/2027, kutakuwa na viwango vipya vya tozo zinazolipwa moja kwa moja na wanafunzi pamoja na gharama za malazi katika mabweni na hosteli za Chuo. Viwango hivyo vinahusu, miongoni mwa mambo mengine, gharama za usajili, mitihani, huduma za TEHAMA na Maktaba, vitambulisho, nyaraka mbalimbali za kitaaluma, mahafali pamoja na huduma nyingine zinazohusiana na masomo. Gharama mpya za malazi katika mabweni na hosteli mbalimbali pia zimeainishwa kwa mwaka huo wa masomo.

FINAL POSTGRADUATE EXAMINATIONS TIMETABLE

Name
kuwa

Biography

Biography

 

Contacts

Email:

Mob:

Research Interest

Google Scholar

View Profile

Projects

Publications

Submitted by kuwa on 14 July 2026

FINAL HUMANITIES EXAMINATIONS TIMETABLE

Name
kuwa

Biography

Biography

 

Contacts

Email:

Mob:

Research Interest

Google Scholar

View Profile

Projects

Publications

Submitted by kuwa on 14 July 2026

FINAL EDUCATION EXAMINATIONS TIMETABLE

Name
kuwa

Biography

Biography

 

Contacts

Email:

Mob:

Research Interest

Google Scholar

View Profile

Projects

Publications

Submitted by kuwa on 14 July 2026
Subscribe to