Letina Ally Shipela ni mtaalamu wa Kiswahili na elimu ya lugha kutoka Tanzania. Alizaliwa tarehe 2 Desemba 1998 mkoani Songwe. Ana Shahada ya Umahiri (MA) katika Kiswahili (2021–2024) na Shahada ya Sanaa katika Elimu (BA with Education) (2018–2021) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Email:
Mob: